Habali zakuaminika Kutoka ndani ya CHAMA CHA Demokrasia na maendeleo CHADEMA kinaendelea kuvuna na kuwavutia wasanii wa kizazi KIPYA na MAIGIZO ambapo sasa kimevuna WASANII wanne wa muziki wa kizazi kipya alimarufu Bongofleva na Filamu wasanii hao wanatalajiwa kutangazwa kuhamia chama hicho wiki hii Wasanii hao majina yao nikama iftayo LADY JAYDEE AFANDE SELE MKOLONI NA JB
No comments:
Post a Comment